Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kumkaribisha Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia,
Dkt. Aziz Ponary Mlima, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia,
Dkt. Aziz Ponary Mlima, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo kwa ajili mazungumzo.TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment