Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 21, 2014

Rais Dk.Ali Mohamed Shein,apokea Kifimbo cha .Malkia wa Uingereza na kuwaapisha Viongozi katika Serikali ya Mapinduzi.

TA1A0100 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) kutoka kwa  Katibu wa Michezo wa Chama cha Watu wenye Ulemavu Zanzibar Hadaa Khatib,katika viwanja vya Ikulu Mjini  Zanzibar jana.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A0109Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitembea na kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) baada ya kukabidhiwa na Kamati ya Olimpiki Tanzania,(wa pili kulia) Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania Gulam Abdalla Rashid,na katibu wa Mbio za Kifimbo na Mjumbe wa kamati ya Oilimpiki suleiman Jabir,(kushoto)(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
TA1A0135Baadhi ya wanamichezo wa vikundi mbali mbali vya Michezo vya Zanzibar wakiwa katika hafla ya kukabidhi kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kutoka kamati ya Olimpiki Tanzania katika Viwanja vya Ikuli Mjini  Zanzibar jana.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A0159Kiongozi wa Kifimbo cha Kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) Adam Best,akitoa maelezo kwa wanamichezo wa vikundi mbali mbali vya Michezo vya Zanzibar baada ya kukabidhi KIfimbo hicho kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0006 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ahmad Kassim Haji, kuwa Naibu Katibu Mkuu ,Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0015
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi. Rukia Mohamed Issa,kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment