Beki wa
kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert
Carlos leo asubuhi amekutana na wachezaji na viongozi wa Yanga kabla ya
mazoezi.
Carlos
Kwa sasa ni kocha wa timu ya Sivasspor iliyopo Ligi Kuu nchini Uturuki,
Yanga pamoja na Sivasspor zimeweka kambi kwenye hotel ya Sueno Beach
zikijiandaa na mashindano mbali mbali yanazikabil,Yanga wakiwa wameweka
kambi kujiandaa na raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom wenzao
Sivasspor wanajiandaa na mchezo kombe la chama cha soka nchini humo
ambao utachezwa siku ya jumanne.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
Nizar Khalfan na kocha Charles Boniface Mkwasa wakiwa na Roberto Carlos nchini Uturuki.
No comments:
Post a Comment