David Lamuya kutoka Muungano wa Utepe Mweupe (THE WHITE RIBBON ALLIANCE ) akimvisha utepe mweupe Waziri mkuu Mizengo Pinda wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini kwake leo. Kampeni yao inaitwa Wajibika Mama Aishi.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Muungano wa Utepe
Mweupe walipo mtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam
.Muungano wa Utepe Mweupe wanaedesha kampeni inayoitwa Wajibika Mama
Aishi. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment