Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 19, 2014

HUZUNI SANA::NDUGU WA ABIRIA WALIOPOTEA NA NDEGE YA MALAYSIA WAITAKA SERIKALI KUTOA TAARIFA KAMILI


Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba


MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.
Mmoja wa wanafamilia walipotelewa ndugu akiongea kwauchungu na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur.
Mwanamke akiondolewa na maofisa usalama wakati alipojaribu kulalamika kwenye mkutano wa waandishi wa habari katika hoteli ya Sepang mjini Kuala Lumpur.
Familia ya Wachina waliokuwa na ndugu katika ndege ya Malaysia, wakisindikizwa kutoka kwenye mkutano wa waandishi wa habari.
Moja ya ndege za Jeshi la Maji la Marekani ikitayarishwa kwenda kuisaka ndege ya Malaysia iliyopotea.
Ndege nyingine ya jeshi la Marekani ikisafishwa ili kwenda kuitafuta ndege ya Boeing 777 iliyopotea.
CHANZO: DAILYMAILY

No comments:

Post a Comment