Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Baadaye Waziri Mkuu huyo alifanya mazungumzo na Kinana kuhusu masuala mbalimbali hususan ya kisiasa.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina (kulia), kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Aprili 25, 2014. Picha zote na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment