Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 13, 2014

PICHA::ATHARI ZA MVUA MKOANI MOROGORO

Wananachi wa kata ya Mwembesongo wakitemebe kwenye maji baada ya barabara ya kichangani kujaa maji
wakitoa maji yaliyojaa dukani kwao



 Bi,Hasma Ndehele ambaye ni Kigogo wa CCM kata ya Mji Mpya akiwa hoi baada ya mafuriko kuvamia nyumbani kwake muda huu
 Masela wakijaribu kufukua mifereji kwa majembe



 Mama Mjanzto akiwa na wanae akiangalia maji yakiendele kujaa kwenye nyumba yake

 Bodo boda zikipita kwa shida kwenye barabara hiyo inayotoka kituo ch polisi Msamvu kueleka kichangani
  Wanafunzi wa shule ya Msingi mwenmbeso wakishikana mikono kueleka nyumbani kwao baada ya maji  yanayovuma kwa kasi barabara ya Kichangani kuwashinda nguvu
HAIJAWAHI kutokea kwa miaka ya hivi karibuni mkoani hapa mvua kunyesha mfurulizo ambapo toka jana majira ya saa saba mchana mpaka  leo mvua inaendelea kunyesha mfurulizo jambo lililosababisha mitaa mbali mbali ya Manispaa hiyo kukumbwa na mafuriko.

  Na Dustan Shekidele

No comments:

Post a Comment