Ndege ya kampuni ya Kenya Airways imetua pembeni ya njia kuu yaani runway na kushindwa kutua salama kama inavyotakiwa uwanja wa ndege wa JNIA.Tunamshukuru Mungu mjaza neema ndogo ndogo na kubwa nyepesi na nzito nyembamba kwa nene kwa kuruhusu wenzetu hawa kutoka wote kwa amani bila mikwaruzo.Narudia tena shukrani pekee kwa rubani aliecheza nayo tairi ilipopata pancha huku akilazimisha ibaki njia kuu
Waziri wa Kilimo, Amefanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mipango na Uwekezaji
-
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo (Mb) amefanya mazungumzo na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander
Mk...
2 hours ago


Sio kweli kuwa ndege hiyo ilibust tyre,chanzo chako cha habari kimekudanganya,rubani aliingia pembeni ya runway baada ya kutoona vizuri runway kutokana na mvua kubwa iliyokua inanyesha
ReplyDelete