Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua
mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe
jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi
Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri wa Nishati wa Nigeria
Profesa Chinedu Ositadinma Nebo na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe
Daniel Ole Njoolay katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini
Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu
Afrika (World Economic Forum for Africa).
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maafisa mbalimbali wa
Tanzania na Nigeria jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuriaMkutano wa
siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na
Waziri wa Nishati wa Nigeria Profesa Chinedu Ositadinma Nebo na Balozi wa
Tanzania nchini Nigeria Mhe Daniel Ole Njoolay baada ya kupokewa katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6,
2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi
Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maafisa mbalimbali wa Tanzania na Nigeria
jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuriaMkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu
Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa baada ya kuwasili hotelini kwake na
Waziri wa Nishati wa Nigeria Profesa Chinedu Ositadinma Nebo jijini Abuja,
Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani
kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Balozi wa Tanzania
nchini Nigeria Mhe. Daniel Ole Njoolay, Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt
Abdallah Kigoda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar,Mhe. Mohammed Aboud Mohammed baada ya
kuwasili jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani
kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa). PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment