Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 3, 2014

JOYCE KIRIA AFIWA NA DADA YAKE

Huyu ni dada yangu alikuwa amelazwa Palestina Sinza lakini imempendeza Mungu apumzike. Ee Mungu nitie nguvu... dada Lydia Mungu amekupenda zaidi RIP.Hayo ni maneno ya Joyce Kiria Mda mchache uliopita.Dj Sek Blog Hii inapenda kutoa pole Kwa dada Joyce Kiria kwa wakati mgumu alionao kwa sasa Mungu akupe nguvu na mlaze dada yeako mahala pema pema peponi Amina

No comments:

Post a Comment