Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na Rais mpya wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya rais mpya wa Malawi kukabidhiwa madaraka leo jijini Brantyre kwenye hoteli Sunbird. Baada ya kukutana viongozi hao walipata fursa ya kuzungumzia masuala la kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili na kukubaliana kuendelea kuwa na mahusiano mema kama nchi zinazoishi ndugu na jirani. Picha kwa Hisani ya Ikulu ya Malawi
Mwenyekiti wa Baraza la NACTVET azungumza na wanafunzi wa Mkondo wa Amali
maonesho ya Sabasaba
-
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na
Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ni Bi. Bernadetta Ndunguru akipata
maelezo kut...
3 hours ago



No comments:
Post a Comment