Baadhi ya ndoo za rangi zikiwa zimewekwa pembeni ya barabara huku asilimia kubwa zimepasuka. |
Dereva wa gari hilo akishuhudia jinsi wananchi wanavyo gombania rangi ilimradi kila mmoja apate chake mapema. |
wananchi wakiendelea na zoezi la kuchukuwa rangi iliyomwagika baada ya ajali hiyo kutokea |
Tela la gari lililokuwa limebeba rangi likiwa limeanguka katikati ya barabara inayoelekea wilaya ya Kahama na nchi jirani ya Rwanda. |
Wananchi wakichangamkia biashara ya rangi iliyokuwa imemwagika ili wakauze ambapo ndoo ya lita 10 sh 10,000 na lita 20 ni sh 20,000 |
Kila mmoja akiwahi kuchukuwa chake mapema |
Tela la gari ambalo limepinduka. chanzo_:stella blog |
No comments:
Post a Comment