Rais
wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner (kulia) akimsalimia
mchezaji Lionel Messi mara baada ya kuwapokea leo baada ya kurudi nchini
kwao.
Mchezaji
wa Argentina Lionel Messi leo Julai 13, 2014 amepokelewa nchini kwao na
Rais Cristina Fernandez de Kirchner mara baada ya kushinda zawadi ya
Mpira wa Dhahabu iliyotokana na kuwa mchezaji bowa katika mashindano ya
Kombe la Dunia yaliyomalizika jana nchini Brazili. Mshabiki wengi wa
soka wamempongeza sana mchezaji huyo kwa jinsi alivyocheza japo timu
yake haikuweza kuwashinda Wajerumani.
Rais wa Argentina akimpa pongenzi meneja wa timu yao Alejandro Sabella.Pembeni ni mchezaji Lionel Messi.
Viongozi wa nchi ya Argentina wakifurahia jambo mapema leo mara baada ya kurudi nchini kwao.
Wachezaji
Messi akiwa ameshikilia medali yake ya dhahabu baada ya kuibuka
mchezaji bora katika mashindano ya kombe la dunia 2014 yaliyomalizika
jana nchini Brazili na kuifanya timu ya Ujerumani kuibuka washindi.
No comments:
Post a Comment