Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumzia mikakati ya Wizara yake katika kutatua changamoto zinazolikabiri Shirika la Reli laTanzania na Zambia (TAZARA).
Waandishi wahabari wakimfuatilia kwa makini Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumzia mikakati ya Wizara yake katika kutatua changamoto zinazolikabiri Shirika la Reli laTanzania na Zambia (TAZARA).
Picha zote na Eliphace Marwa (Maelezo)
Picha zote na Eliphace Marwa (Maelezo)
No comments:
Post a Comment