Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 26, 2014

SIMEONE AFUNGIWA MECHI NANE


Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone amefungiwa mechi nane kwa utovu wa nidhamu alioonesha kwenye mechi ya Spanish Super Cup. Simeone, 44, alimgusa mmoja wa waamuzi kisogoni katika mechi iliyokuwa



 imejaa hamasa kati ya Atletico Madrid na Real Madrid, ambapo Atletico walishinda 2-1. Shirikisho la soka la Spain (RFEF) limethibitisha kuwa adhabu hiyo ni ya makosa manne tofauti. Kocha msaidizi German Burgos atasimamia mechi za Attletico wakati wa adhabu hii.

No comments:

Post a Comment