Kila lugha duniani huambatana na utamaduni fulani wa
watumiaji wake.
Waswahili wamekuwa na mazoea ya kutumia lugha ya Kiswahili
katika biashara kwa namna ambayo muuzaji hutaja bei ya juu kidogo kisha mnunuzi
huomba punguzo mpaka pale bei itakapowaridhisha wote wawili.
Mwandishi wa BBC Arnold Kayanda alitembelea soko
kuu la Kariakoo
jijini Dar Es Salaam ambako anasikiliza mtizamo wa waswahili kukosa nafasi hiyo
ya 'nipunguzie kidogo' kutoka kwa wafanyabiashara wa kichina.
Ni taarifa ya Arnold Kayanda.
No comments:
Post a Comment