Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 29, 2015

WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA WADAKWA LINDI BAADA YA AJALI YA GARI LAO

Gari ambalo walikuwa wakisafiria wahamiaji haramu kutoka Ethiopia baada ya kugongwa na Basi la Jailan jana Mjini Lindi. Wahamiaji haramu wawili kutoka Ethiopia  wafariki na wengine 60 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi baada ya kubainika mara tu Gari ambalo walikuwa wakisafiria kugongwa na Basi la Jailan Jana Mjini Lindi.
Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye makao makuu ya Uhamiaji mkoani Lindi.
Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye makao makuu ya Uhamiaji mkoani Lindi.


Majina Ya Waethiopia waliokamatwa Lindi

No comments:

Post a Comment