Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 10, 2016

UPDATES: SAED KUBENEA AKAMATWA, AUNGANISHWA KWENYE KESI YA MDEE


Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amekamatwa na Jeshi la Polisi kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, baada yake kujumuishwa kwenye kesi ya Shambulio la Kudhuru Mwili inayowakabili wabunge wengine wa CHADEMA, Halima 
 
Mdee, Mwita Waitara na madiwani kadhaa wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam.


ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI


CHANZO: JAMII FORUMS

No comments:

Post a Comment