Afisa Muandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii Tanzania Nd. Juma Kimtu akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mchango wa Maafa wa Shilingi 10,000,000/- hapo ofisini kwake Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Nyuma yake ni Meneja Msuluhishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF } Nd. Khamis Phil Phil Than.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea mchango wa Maafa wa shilingi 10,000,000/- kutoka kwa Meneja Msuluhishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF } Nd. Khamis Phil Phil Than hapo katika Ofisi yake iliyopo Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Magazetini Leo Januari 18, 2025; Sababu Vijana Kufanya Vurugu Msibani
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
1 hour ago



No comments:
Post a Comment