Bondia Parick Kavako 'Baunsa' wa Morogogo kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katikas ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni |
Mabondia Mariam Abdallah kushoto na Lulu Kayage wakiwa wamepozi kwa ajili ya picha za mpambano wao utakaofanyika jumapili ya june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala bungoni Dasr es salaam |
Bondia Patrick Kavako 'Baunsa' wa morogoro kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunisha misuli mbele ya kamera baada ya kupima uzito wao kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala Bungoni |
Mabondia Mariam Abdallah
kushoto na Lulu
Kayage wakiwa wamepozi kwa ajili ya picha za mpambano wao utakaofanyika
jumapili ya june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala bungoni Dasr
es salaam
picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment