Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 28, 2013

MSANII GEEZ MABOVU YUPO HOI HOSPITALI TUMUOMBEEE


Msanii Geez mabovu  yupo hoi hospitali ya mkoa wa iringa baada ya kuzidiwa na kukimbizwa hospitalini hapo.Geez mabovu alizidiwa akiwa nasubilia kufanya show akiwa na wasanii songa na mwenzie jan b
Songa alipokuwa akiongea na mtandao wa Bongo 5 alisema mwenzao alizidiwa ghafla walipokuwa wakisubili show na akakimbizwa hospitali.

 Haya ni maneno aliyoandika msanii songa kwenye ukurasa wake wa Facebook
“ASANTENI SANA IRINGA,SIKUTEGEMEA MNAPENDA HIP HOP KIASI KILE...MLITISHA SANA. ILA KUNA HABARI MBAYA NDUGU YETU GEEZ MABOVU HALI YAKE SIO NZURI AMELAZWA,NAOMBA TUMUOMBEE ARUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA. ASANTENI”


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)




No comments:

Post a Comment