Msululu
wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari baada ya
uharibifu mkubwa uliofanyika baada ya kunyesha kwa mvua kubwa za masika
ambazo bado zinazoendelea kunyesha mkoani Lindi na baadhi ya maeneo
nchini ,hapa ni eneo korofi la kilomita 14 kati ya kilomita 60
zinazoendelea kutengenezwa ili kukamilisha barabara hiyo ya kusini kwa
kiwango cha lami.(PICHA NA MDAU PAUL MARENGA WA LINDI)Hapa ni Sintofahamu ya waendako ikiendelea.
Abiria mbalimbali wakiwa bado hawaelewi la kufanya kutokana na magari waliyokuwa wakiyatumia kukwama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment