
Mwenyekiti
wa Muda wa Bunge maalum La Katiba Mh Pandu Kificho Ameahirisha Semina
ya kujadili Kanuni za Bunge Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru
Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro
Mh Ole Sendeka Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Huyo
alipohoji kuhusu Kanuni hizo.
No comments:
Post a Comment