Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 20, 2014

Picha ya utengenezaji wa Kipindi kipya cha Ray C.




Hii ni hatua nyingine kwa Ray C ambapo baada ya kutangaza project ya kuwasaidia watu wanaotumia madawa ya kulevya kwa sasa Ray C ameanza utengenezaji wa kipindi chake kipya cha Tv ambacho kakipa jina la Pamoja Inawezekana.


Ingawa hajasema ni kituo gani kitakachoonyesha hiki kipindi lakini kwa picha za mwanzo zinamuonyesha akiwa anamhoji brother toka Bongo Movie Jacob Steven ‘Jb’ .


No comments:

Post a Comment